Waziri wa Mambo ya Nje wa Mali, Abdallah Diop, ameishutumu serikali ya Ukraine kwa kutoa droni na msaada kwa makundi ya kigaidi katika Sahel.